Hosea 6:2


2 aBaada ya siku mbili atatufufua;
katika siku ya tatu atatuinua,
ili tuweze kuishi mbele zake.
Copyright information for SwhKC